Jumanne, 7 Aprili 2015

KIGAMBONI SOCCER ACADEMY YATOLEWA NUSU FAINAL; MAPINDUZI CUP

Timu ya kigamboni soccer academy leo ilifanikiwa kucheza  mchezo wake wa pili wa nusu fainal dhidi ya timi ya madridi ya kigamboni na timu hiyo ya madridi ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika uwanja wa jeshini wa mizinga.Mchezo huo uliohusisha isia nyingi za mashabiki ambapo katika nusu fainali ya kwa timu hizo zilitoshana nguvu baada ya kushindwa kufungana.