Jumamosi, 3 Januari 2015

ZAO LA KWANZA KUTOKA KIGAMBONI SOCCER ACADEMY






Hassan Ally (kushoto) akiwa na mchezaji mwenzie wa Majimaji kabla ya mchezo wao na Ashanti United ya Ilala Dar es salaam.
Hassan Ally ni zao la kwanza kutoka Kigamboni Soccer Academy ya Kigamboni jijini Dar es salaam, amesajiriwa na timu ya soka ya Majimaji ya mjini Songea mkoani Ruvuma inayoshiriki ligi ya soka ya daraja la kwanza kwa msimu wa 2014/2015.