Alhamisi, 15 Januari 2015

KIGAMBONI SOCCER ACADEMY NA JKT RUVU CHAMANZI







Pichani juu ni Timu ya Kigamboni Soccer Academy wakipeana mikono kabla ya mechi yao na JKT RUVU team B Tarehe 10/01/2015 amabapo timu ya KIGAMBONI SOCCER ACADEMY waliibuka na ushindi wa goli 2 - 0.


Pichani ni Nassoro Said mmoja wa wachezaji wa Kigamboni Soccer Academy anacheza katika nafasi ya mlinzi wa kati 



Pichani juu na chini ni Mohamed Tajdin Mwalimu wa Kigamboni Soccer Academy akiwapa maelekezo kabla mchezo huo.





Abdillah Mohamed anacheza kama kiungo katika timu ya Kigamboni Soccer Academy.