Jumamosi, 3 Januari 2015

KIGAMBONI SOCCER ACADEMY UNDER 15



Wachezaji wa umri chini ya miaka 15 kutoka katika kituo cha Kigamboni Soccer Academy wakimsikiliza kwa makini mwalimu wao Bwana Issa Yahaya maarufu kwa jina la Mwalimu Kiza.


KIGAMBONI SOCCER ACADEMY UNDER 15




Vijana wa Kigamboni Soccer Academy chini ya miaka 15 wakifuatilia kwa makini mchezo kati yao na KCC ya Kigamboni.

ZAO LA KWANZA KUTOKA KIGAMBONI SOCCER ACADEMY






Hassan Ally (kushoto) akiwa na mchezaji mwenzie wa Majimaji kabla ya mchezo wao na Ashanti United ya Ilala Dar es salaam.
Hassan Ally ni zao la kwanza kutoka Kigamboni Soccer Academy ya Kigamboni jijini Dar es salaam, amesajiriwa na timu ya soka ya Majimaji ya mjini Songea mkoani Ruvuma inayoshiriki ligi ya soka ya daraja la kwanza kwa msimu wa 2014/2015.