Alhamisi, 15 Januari 2015

WACHEZAJI WA KIGAMBONI SOCCER ACADEMY WAKIPASHA MISULI KABLA YA MECHI DHIDI YA BODABODA F.C


Baadhi ya wachezaji wa kigamboni soccer academy wakifanya mazoezi mepesi kabla 
ya mechi dhidi ya bodaboda f.c.matokeo ya mchezo huo ni sare ya
goli 1-1.

MJUE DAVID MSHAMBULIAJI HATARI WA KIGAMBONI SOCCER ACADEMY


Pichani juu ni David Mshambuliaji hatari wa Kigamboni Soccer Academy baada ya mechi kati yao na Bodaboda F.C. ya Kigamboni.

KIGAMBONI SOCCER ACADEMY NA JKT RUVU CHAMANZI







Pichani juu ni Timu ya Kigamboni Soccer Academy wakipeana mikono kabla ya mechi yao na JKT RUVU team B Tarehe 10/01/2015 amabapo timu ya KIGAMBONI SOCCER ACADEMY waliibuka na ushindi wa goli 2 - 0.


Pichani ni Nassoro Said mmoja wa wachezaji wa Kigamboni Soccer Academy anacheza katika nafasi ya mlinzi wa kati 



Pichani juu na chini ni Mohamed Tajdin Mwalimu wa Kigamboni Soccer Academy akiwapa maelekezo kabla mchezo huo.





Abdillah Mohamed anacheza kama kiungo katika timu ya Kigamboni Soccer Academy.



Jumamosi, 3 Januari 2015

KIGAMBONI SOCCER ACADEMY UNDER 15



Wachezaji wa umri chini ya miaka 15 kutoka katika kituo cha Kigamboni Soccer Academy wakimsikiliza kwa makini mwalimu wao Bwana Issa Yahaya maarufu kwa jina la Mwalimu Kiza.


KIGAMBONI SOCCER ACADEMY UNDER 15




Vijana wa Kigamboni Soccer Academy chini ya miaka 15 wakifuatilia kwa makini mchezo kati yao na KCC ya Kigamboni.

ZAO LA KWANZA KUTOKA KIGAMBONI SOCCER ACADEMY






Hassan Ally (kushoto) akiwa na mchezaji mwenzie wa Majimaji kabla ya mchezo wao na Ashanti United ya Ilala Dar es salaam.
Hassan Ally ni zao la kwanza kutoka Kigamboni Soccer Academy ya Kigamboni jijini Dar es salaam, amesajiriwa na timu ya soka ya Majimaji ya mjini Songea mkoani Ruvuma inayoshiriki ligi ya soka ya daraja la kwanza kwa msimu wa 2014/2015.